Muimbaji wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva, Lady Jaydee ameeleza sababu ya wasanii wengi kuanza muziki vizuri na kupotea baada ya kipindi kifupi.
Lady Jaydee ameeleza kuwa sababu ya wengi kuishia njiani ni kushindwa kuvumilia changamoto zilizopo kwenye kiwanda cha muziki.
"Inabidi uwe na moyo uwe na uvumilivu kila siku ukiwa umeamka uwe umeamua leo tena naendelea kwa sababu kuna changamoto nyingi vizuizi vingi na kupenya sio rahisi, kwa hiyo watu wengine wanakata tamaa mwenye nyoyo nyepesi," Lady Jaydee ameiambia Wasafi TV.
Lady Jaydee anatarajiwa kudondosha show ya nguvu leo, Vocals Night pande za Mlimani City, Dar es Salaam, huku akisindikizwa na wasanii kama Grace Matata, Damian Soul, Juliana kutoka Uganda na Zaharasa wa Afrika
Friday, October 26, 2018
Home »
» Ujumbe wa Lady Jaydee kwa wasanii Wapya
Ujumbe wa Lady Jaydee kwa wasanii Wapya
Related Posts:
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment