hamisi_kigwangalla
Silaha ya muislamu ni dua pekee. Ahsanteni sana kwa dua na maombi yenu nyote, kwa hakika yamefanya maajabu kwenye maisha yangu. Nawapenda sana. Mungu mwenye enzi atawalipa kila la kheir kwa badala na badala. Naahidi kuzidi kuwa mtumishi mwaminifu, muadilifu na mchapakazi daima! #HK
Saturday, October 27, 2018
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
0 comments:
Post a Comment